Mshairikasti The Poetcast

Nisalimieni Kipenzi (Send my Regards to the Beloved)

March 01, 2021 Mohammed AlGhassani
Mshairikasti The Poetcast
Nisalimieni Kipenzi (Send my Regards to the Beloved)
Show Notes

Muendao Nyali, mahabuba wetu, kumtembelea
Mwambieni hali, maishani mwetu, alotuwachia
Ngumu kwelikweli, hatuwezi kattu, kuja izowea
Bali twashukuru
Hatumkufuru
Ilahi Ghafuru, aliyemuita, akamwitikia!